TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, September 29, 2011

Rais Kikwete Apokea Msaada Wa Millioni 25 Kutoka Kanisa la The Synagogue Church Of All Nations kwaajili ya wahanga wa ajali ya Meli ya MV Spice Island iliyozama kisiwani pemba.

11:47 PM


Mwakilishi wa Emmanuel Televisheni na Kanisa la The Synagogue Church Of All Nations Bi. Martha Harvey akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jumla ya shilingi milioni ishirini na tano 25,000,000/- kwaajili ya wahanga wa ajali ya Meli ya MV Spice Island iliyozama katika mkondo wa Nungwi huko Unguja na kusababisha vifo vya watu wengi hivi karibuni.mchango huo uliokabidhiwa leo ikulu jijini Dar es Salaam umetolewa na Kiongozi wa Kanisa hilo Nabii Themitope Balogun Joshua ambaye anaishi katika Makao makuu ya Kanisa hilo jijini Lagos Nigeria.Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA