TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, July 24, 2011

TANZANIA HOUSE OF TALENT WAENDELEA KUNG'AA NA AFRIKATS, TANGA

8:03 PM


Afrikats ni mradi unaoendeshwa na Tanzania House of Talents kwa ushirikiano na Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania. Lengo kuu la mradi huu ni kuhamasisha vijana kutumia sanaa kama njia ya kujiletea kipato na maendeleo yao, pia kama njia ya kukuza na kutunza utamaduni wetu. Mradi huu unawahusisha vijana wenye vipaji vya uimbaji, kucheza na kuingiza kutoka THT, ambao wamepatiwa mafunzo juu ya uigizaji mahairi, kuimba na kucheza. Vijana hawa watazunguka nchi nzima kuwahamasisha vijana wenzao kupitia igizo ambalo limebeba tamaduni mchanganyiko.Endele hapa.......

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA