Vodacom
Miss Excellence out 2011, Neema Mtitu, akipunga mkono baada ya
kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Chuo
Kikuu Huria Kinondoni jijini Dar es Salaam, paha akiwa na washindi
wenzake mshindi wa pili Weirungu David (kushoto) na mshindi wa tatu
Neema Saimoni.
Miss Excellence aliyemaliza muda wake akimvisha taji Vodacom Miss Excellence OUT 2011 Neema Mtitu.
Waziri
wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, akimkabidhi
hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 6,030,000 Vodacom Miss
Excellence out 2011, Neema Mtitu, baada ya kutangazwa mshindi.
Mshindi
wa pili wa Vodacom Miss Excellence 2011 Weirungu David akipokea Hundi
yenye thamani ya shilingi milioni 6,030,000 kutoka kwa Makamu mkuu wa
Chuo Kikuu Huria cha Afrika Kusini katika shindano lililofanyika viwanja
vya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe akiwampongeza
Vodacom Miss Excellence Out 2011 Neema Mtitu kushoto ni mshindi wa pili
Weirungu David na mshindi wa tatu Neema Saimoni.
Vodacom Miss Excellence OUT 2011 Neema Mtitu akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwabwaga warembo wenzake 10.
Hawa ndiyo warembo watano Bora katika shindano hilo.
0 comments:
Post a Comment