TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, April 15, 2011

WAFANYAKAZI WA KIWANDA EAST COAST OILS AND FATS LIMITED CHA MeTL WAITIKIA WITO WA KUCHANGIA DAMU…!!!

1:59 PM
Meneja Mkuu wa Kiwanda  cha East Coast Oils and Fats Ltd. Bw. Vekant Police akionyesha dole wakati akichangia damu baada ya vipimo kuonyesha yuko fiti kiafya.

Uongozi pamoja na wa Wafanyakazi wa  Kiwanda cha East Coast Oils and Fats Ltd. kinachotengeneza Mafuta na Sabuni ambacho ni moja ya makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL) leo wamejitolea kuchangia damu ikiwa ni kutikia wito kutokana na kupungua kwa akiba ya damu katika benki ya damu nchini Tanzania.
Zoezi hilo limefanyika leo katika Kiwanda hicho kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam, huku wafanyakazi hao wakiongozwa na Meneja Mkuu Vekant Police.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA