| Balozi
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Waziri wa
Mambo ya Nje wa Falme za Kiarabu (UAE), Shaikh Abdullah bin Zayed Al
Nahyan, wakitia saini mkataba wa kuanzisha Tume ya Pamoja ya Ushirikiano
baina ya nchi hizo, mjini Dubai ambako Waziri Membe alihudhuria
Mkutano wa kupanga mikakati ya kukabiliana na maharamia wanaoteka meli
baharini. Wengine ni Balozi wa Tanzania UAE, Mohammed Maharage (wa pili
kulia nyuma), na Baraka Luvanda ambaye ni Ofisa kutoka Kitengo cha
sheria, Wizara ya Mambo ya Nje. |
0 comments:
Post a Comment