TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, April 23, 2011

Tamasha la VODACOM SHUFFLE DANCE lilivyofana huko kigamboni,jijini dar.

3:00 PM


Pichani juu na chini ni Helkopta ikipita kandokando ya Bahari ya Hindi eneo la Ufukwe wa Sunrise Resort juzi, wakati wa Tamasha la Vodacom la ‘Shuffle Dance’, lililoandaliwa maalum na kampuni hiyo ya Vodacom kwa ajili ya kuweka na kuvunja rekodi ya dunia na kuweka kumbukumbi katika kitabu cha Matukio makubwa Duniani ‘Guinness Book Records’.Tamasha hilo lilifanyika juzi (Ijumaa) kwenye Ufukwe wa Hotel ya Sunrise Kigamboni Dar es Salaam.


Muongozaji wa zoezi hilo, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Tamasha hilo.


Pichani juu na chini ni Wasanii mbalimbali na vijana waliojitokeza kushiriki Tamasha la Vodaco ‘Shuffle Dance’, akicheza staili moja kwa pamoja wakati wa Tamasha hilo lililofanyika juzi kwenye Ufukwe wa Hoteli ya Sunrise Kigamboni Dar es Salaam, likiwa na lengo la kuvunja na kuweka rekodi ya Dunia katika kitabu cha Matukio Makubwa yanayotokea Duniani, ‘Guinness Book Records’. Tamasha hilo liliandaliwa na kampuni ya simu za mkononi Vodacom Tanzania.Picha na Muhidin Sufian

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA