TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, April 24, 2011

SAFARI LAGER DARTS KUMALIZIKA LEO MOSHI BAR

9:54 PM


Baadhi ya wachezaji wa Darts toka nchi za Kenya na Uganda pamoja na Tanzania wakiwa na Katibu mkuu wa mchezo wa Darts Taifa,Mohamed Bitegeko (pili kulia) huku wakiwa wamevizunguka vikombe vitakavyokabidhiwa kwa washindi wa mchezo katika fainali zinazoendelea kufanyika hivi sasa kwenye ukumbi wa Moshi Bar,Manzese Tiptop.
Mwanamama Dinah Amoding kutona nchini Uganda akirusha Datr kwenye fainali za mchezo huo kwa upande wa Afrika Mashariki,zinazoendelea jioni hii katika ukumbi wa Moshi Bar,Manzese Tiptop jijini Dar.
Mchezaji Opoloto Partick wa Uganda,akifanya vitu vyake.
Mchezaji wa Uganda, Julieth Kantumbale akirusha mshale ubaoni jioni hii.
Baadhi ya wachezaji na watazamaji wa fainali za mchezo wa Darts wakifuatilia kwa makini mchezo huo.picha na othman michuzi

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA