TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, April 24, 2011

Rais wa Zanzibar,azungumza na wanamichezo Ikulu Dar na Zanzibar

2:35 PM


Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Ikulu ya Dar es Salaam,wakati timu hizo zilipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais,ambapo zitakuwa na mapambano mbali mbali,katika kukuza ushirikiano wa pamoja.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Ikulu ya Dar es Salaam,wakati timu hizo zilipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais,ambapo zitakuwa na mapambano mbali mbali,katika kukuza ushikiano wa pamoja. .

Wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk ALi Mohamed Shein,akiwaaidhi walipofika Ikulu Zanzibar leo.Picha na Ramadhan Othman, IKulu,Zanzinbar.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA