TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, April 17, 2011

NAPE KATOKA MBALI NA CCM

3:27 PM
Mh.Spika wa Bunge la Muungano wa pili kutoka kulia akizindua rasmi tawi la CCM-Mysore.Kulia kwake ni Mjumbe wa CCM Nec Taifa ndg. Nape M.Nnauye na kushoto ni katibu Mkuu wa CCM-Mysore,ndg.Bahati Magoti na aliyehika benderaya chama pamoja na spika ni mwenyekiti wa tawi Adam H.Mzee



CCM-tawi la Mysore limezindua rasmi Tawi lake tar 20/5/2008,uzinduzi huo uliofanywa na Mh.Samuel John Sitta, Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano,spika alifurahishwa na vijana kuonyesha kupenda nchi yao na kusisitiza lazima wajitambue na wajue umuhimu wa kuongoza chi kwa kufuata taratibu na sheria,na wakati huo huo mjumbe wa Nec Taifa kaka Nape m.Nnauye alisisitiza kuwa vijana sasa wanaamka na wanatambua ukweli kuhusu nchi yao ,pia alikemea kuhusu ufisadi na kumwambia spika vijana wanelewa kila kinachoendela na pia wamefurahishwa na Spika kuwa makini na kazi yake .PICHA NA MAKTABA

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA