mwili wa katibu kata wa chama cha mapinduzi (CCM) kata ya Mgama wilaya ya Iringa vijijini Patrick Ng’ara ukiingizwa
chumba cha maiti Hospitali ya mkoa wa Iringa asubuhi hii,katibu huyo
ameuwawa na majambazi akiwa nyumbani kwake jana usiku Mbunge wa jimbo la kalenga Dr.Wiliam Mgomwa (katikati) akiwa na viongozi wa CCM nje ya chumba cha maiti katibu
wa CCM wilaya ya Iringa Mohamed Dhikri akiwasiliana na viongozi
wengine kuwapa taarifa ya kifo hicho ,hapa ni nje ya chumba cha
kuhifadhia maiti Hospitali ya mkoa wa Iringa katibu
wa mbunge wa jimbo la Isimani Bw Thom Malenga (kulia) akiwa na dereva
wa katibu wa CCM wilaya Bw.Ally nje ya chumba cha maiti Hospitali ya
mkoa wa Iringa.picha na francis gogwin iringa.
0 comments:
Post a Comment