TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, April 4, 2011

ASKARI WA ULINZI WAMUKOA KIBAKA ALIYEPORA SIMU KWA KUMTOA MIKONONI MWA RAIA WENYE HASIRA KALI

10:12 PM


Askari wa Ulinzi wa Kituo cha Mafuta cha Big Bon Kariakoo, wakimuweka chini ya ulinzi kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake, aliyekamatwa baada ya kumchalaam leo mchana. Wananchi wenye hasira kali walimuadhibu kijana huyo kwa kumpiga na mawe, virungu na kusababisha kutokwa nomolea simu ya mkononi, mwanamama aliyekuwa katika harakati za kugombea usafiri katika Kituo cha Msimbaji Dar es Sa damu mdomoni. Hapa ni raia wakitoa kipigo cha mbwa mwizi kwa kijana huyo, nyuma yake ni mwanamama ambaye kwa kweli sikuweza kujua alichokuwa akikifanya nyuma ya kijana huyu, sijuli alikuwa akimsachi ama vipi.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA