RAIA wanne wa kigeni, Dennis Okechukwu na Paul Obi wote wa Nigeria,
Stani Hycenth wa Afrika Kusini na Shoaib Muhammad Ayaz kutoka Pakistan
wakitoka kusomewa mashitaka ya kula njama na kuingiza nchini dawa za
kulevya aina ya heroin zenye thamani ya sh. bilioni 2.8, katika Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dar es Salaam, leo.
0 comments:
Post a Comment