Wakazi
wa jiji la mbeya na vitongoji vyake na kutoka mikoa ya jirani
Sumbawanga Iringa Songea wakiandamana kuuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa
Mbeya kupinga kusitishwa kwa huduma ya matibabu ya magonjwa mbalimbali
anayotoa kijana JAFARI WILLINA
Hii
ndiyo barua ya kusitisha huduma ya tiba ya asili kwa kijana JAFARI
WILLINA Iliyoandikwa na mganga mkuu wa halmashauri ya jiji la mbeya Dk
Samweli Lazaro
0 comments:
Post a Comment