TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, March 10, 2011

SERIKALI YASIMAMISHA TIBA YA MCHUNGAJI MSTAAFU KWA MUDA HUKO LOLIONDO

8:16 AM
waziri wa afya na ustawi wa jamii Dk. Hadji hussein Mponda amesema serikali imemsimamisha kwa muda tiba ya mchungaji mstaafu wa kanisa la KKKT Ambikile Mwasapile anaedaiwa kutibu magonjwa mbalimbali ikiwemo ukimwi kwa gharama ya shilingi mia tano Katika hatua nyingine Serikali imepokea pikipiki 30 kati ya 400 ilizoagiza kwa ajili ya kubebea wagonjwa zitakazotumika kwa ajili ya kusafirisha wagonjwa wa rufaa kati ya zahanati na vituo vya afya. Akizungumza jijini Dar es salaam leo waziri amesema pikipikipi hizo ambazo kila moja ina thamani ya dolla 5900 zitarahisisha kusafirisha wajawazito kutoka kituo kimoja hadi kingine Kwa mujibu wa waziri, pikipiki hizo zitapelekwa katika mikoa ya pwani, Morogoro, Rukwa, Mbeya na Dodoma. Aidha waziri Mponda amesema pikipiki hizo zitakuwa na manufaa kwa nchi yetu kwa kuwa tayari kuna nchi nyingine zimeshaanza kutumia ambazo ni Kenya, Malawi, Afrika kusini, Sudan kusini, Ethiopia na Guinea.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA