TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, March 16, 2011

POULSEN ATANGAZA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KITAKACHOMENYANA NA AFRIKA YA KATI

7:53 AM
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa Jan Poulsen, akizungumza na waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF) wakati wa kutangaza kikosi cha wachezaji wataocheza na timu ya Afrika ya Kati, katika michuano ya kuwania kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2012, zitakazofanyika Ikweta ya Guinea na Gabon. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirkisho hilo, Boniface Wambura.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA