Wananchi wa Mlangali jimbo la Ludewa
wakisaidia kusukuma gari la mbunge wao Deo Filikunjombe ,gari hilo
limekwama asubuhi hii wakati akielekea kusalimu msiba katika eneo
hilo alilolala baada ya jana kukabidhi ahadi zake za bati na saruji
pamoja na vifaa vya michezo kwa kata ya Mlangali
Gari ya CCM ikilivuta gari hilo la Mbunge Deo Filikunjombe
1 comments:
kuna umuhimu wa katengeneza barabara?
Post a Comment