TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, March 25, 2011

KIKOMBE CHA BABU WA LOLIONDO CHATUA JIJINI DSM

1:18 AM
Katika pitapita zangu mjini nilikutana na Mmasai mmoja akidai kwamba ametoka kijijini Samunge Loliondo kwa Babu wa Loliondo na kupewa vidumu vya dawa kuja kuviuza hapa mjini kwa bei ya shs 500.Katika kumuhoji sana akaniambia nijaribu kunywa na nitaona matokeo yake ndani ya muda mfupi,Hili ndio jiji bwana la Dar es salaam kila mtu anakula kivyake...........CLICK HERE

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA