| Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akikata utepe wakati wa
uzinduzi wa Kliniki ya watoto wenye Ukimwi iliyojengwa Jijijni Mbeya na
Abbot Fund wa kwanza kushoto ni Waziri wa Afya,Mh. Dr. Hadji Mponda ,wa
tatu kutoka kushoto ni Bw.Robert Scott, Naibu Balozi wa Marekani
nchini, wa nne kutoka kushoto ni Bw. Andy Wilson, Makamo wa Rais wa
Abbot Fund nchini Tanzania na watano kutoka kushoto ni Bw. Michael
Mizwa,Makamo wa Rais Mwandamizi wa Taasisi ya Kimataifa ya ugonjwa wa
Ukimwi kwa watoto nchini Marekani, picha kwa hisani ya Smiley Pool. |
0 comments:
Post a Comment