TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, February 6, 2011

Waziri Nundu Akutana Na Wadau wa Biashara wa Tanzania

12:18 PM

Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu leo jijiji Dar es Salaam amekutana na Wadau wa Biashara wa Tanzania (TZ Stakeholders and Uganda Business Community) pamoja Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka Uganda kuzungumzia Uboreshaji wa Miundombinu wa kusafirisha mizigo mbalimbali kwenda nchini Uganda. Mkutano huo umeandaliwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA