Mwanafunzi akiwa amejifunga utepe wa polisi baada ya kuung'oa eneo ulikokuwa umewekwa na polisi kwa ajili ya usalama. RICHARD Mwita, mmoja wa wanafunzi akihamasiha wenzake kuhakikisha akifika Dk. Kawambwa anatoa tamko tu la nyongeza ya sh. 10,000 la sivyo hapatoshi Waanafunzi wakimsaidia mwenzao ambaye aliumia katika mshike mshike huo. Hawa nao wakajificha mtaroni kunusuru maisha yao Kama ambavyo ni kawaida kwamba inapotokea vurugu mwadhirika wa kwanza ni mwanamke na watoto, Mambo yakawa mazito kwa mwanafunzi huyo, akaangua kilio baada ya tafrani ya mabomu Baada ya waziri kuondoka ndipo likazuka sheshe, polisi wakaamua kulipua mabomu ya kutoa machozi, baada ya baadhi ya wanafunzi kuwatupia chupa za maji na mawe polisi hao.
0 comments:
Post a Comment