TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, February 2, 2011

Tanzania cultural Exhibition in bangalore (Acharya ) India‏

12:42 AM



Kiongoz wa ngoma ( Gao)akizawadiwa a
Fodo akiichambua Ramani ya Tanzania kwa mgeni

Bahati kiwaeleza wageni juu ya maliasili na utali unaopatikana Tanzania

Abdullah akiwaonyesha wageni tanzania inapopatikana katika ramani ya dunia

Kwa niaba ya Jumuhiya ya Wanafunzi wasomao ACHARYA INSTITUTIES Bangalore India (TASAA)kwa kirefu TANZANIAN STUDENTS ASSOCIATION OF BANGALORE tunatoa shukuran za dhati kwa ubalozi na Mh. Balozi KIJAZI kwa kutuunga mkono kwa kutupa vifaa vilivyo weza kufanikisha kuitangaza na kutoa elimu katika maonyesho ya utamaduni wetu.
Pia tunatoa shukrani za dhati kwa uongozi wa acharya kwa kutupa ruhusa ya kufanya maonyesho haya.
pia nawashukuru wanajumuiya wote walio shiriki kikamilifu katika maonyesho yaliyo fana na kutujengea heshima kubwa watanzania chuoni.

Hamisi S fupi
TASAA President.
Kwa maelezo zaidi na picha tembelea
http://www.tasaa.webs.com/

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA