TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, February 22, 2011

Taarifa Mpya,,,, Machafuko Arusha Asubuhi Ya Leo

3:28 PM

IGP Mwema.
Kuna taarifa zimetufikia kutoka jijini Arusha zinazotuhabarisha kuzuka tena kwa machafuko Jijini humo asubuhi ya leo baina ya wafuasi watiifu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)wanaompinga Meya wa jiji hilo dhidi ya Polisi ambao inasemekana kuwa wamewarushia waandamanaji mabomu ya machozi kwa lengo la kuwatawanya.

......Mjengwablog inafuatilia kwa kina taarifa hii ili iweze kukuletea habari kamili.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA