Mwezeshaji wa Promosheni ya Zantel ya ‘Hamisi Ma SMS’ Bw. Nixon Haule (wa pili kulia) akimkabidhi vyandarua Mganga Mfawidhi Mwananyamala Hospital Dkt. Ngonyani anaeshuhudia kushoto ni Dkt. Angel Magesa na kulia ni Mtaalamu wa Bidhaa wa Kampuni ya Zantel Bw.Deogratius Ringia jumla ya vyandarua 100 vyenye thamani ya shilingi laki tano viligawiwa hospital hiyo(na Mpigapicha wetu)
Mwezeshaji wa Promosheni ya Zantel ya ‘Hamisi Ma SMS’ Bw. Nixon Haule (kushoto) akimkabidhi vyandarua Mganga Mfawidhi Mwananyamala Hospital.Dkt. Ngonyani Sophinias wanaoshuhudia wa pili kushoto ni Muuguzi Mfawidhi wa hospitali hiyo Dkt. Clara Mwita na Dkt. Angel Magesa.(na Mpiga picha wetu)
Maofisa wa Kampuni ya Zantel wakiwa pamoja na madaktari wa Hospital ya Mwananyamala baada ya kugawa vyandarua Dar es salaam jana.(Picha na Mpiga picha wetu)
0 comments:
Post a Comment