TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, January 21, 2011

Shughuli ya Arobaini ya marehem,Hassan Makunja kufanyika 29.01.2011 Utete/Rufiji

1:23 PM
Familia ya J.s.Makunja na Bi.Moza Mpili,
Inawatarifu ndugu,Jamaa na marafiki wote kuwa
Shughuli ya hitma na arobaini ya Marehem Hassan Jumanne Makunja,
Itafanyika tarehe 29.01.2011 kuhamkia 30.01.2011 huko mjini utete/Rufiji
kwa mama wa marehem.
Marehem Hassan Jumanne Makunja
Amezaliwa 4-03-1964 amefariki 19-Dec-2010
taarifa zaidi wasiliana namba hii 0787532929 au 0718893419, Bi.Ummy Makunja
0784617961 Bi.Zaituni Hamisi
082249496 Saleh Makunja

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA