TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, January 5, 2011

FFU ! Wa Ngoma Africa band Kutingisha jukwaa Belgrad,Serbia!

8:07 PM

FFU wa Ngoma Africa band kupeleka mzimu wa Dansi nchini Serbia ,7January 2011

Bendi maarufu ya mziki wa dansi Ngoma Africa band aka FFU,wanatarijiwa kutumbuiza katika mji wa Belgrad,nchini Serbia,ulaya ya mashariki katika maonyesho ya Film and music festival yatakayoanza tarehe 5 hadi 12 January 2011,
Pia wakazi wa mji wa Montenegro watavamiwa na mziki huo wa dansi kutoka kwa ffu wa Ngoma Africa band yenye maskani yake nchini Ujerumani.
Ni juzi juzi tu wakali hawa wa mziki wa dansi na "MZIMU WA MZIKI" walikuwa wakipeperusha CD maalum "Jakaya Kikwete 2010" .
Toka bendi hiyo ipelekewe mwaliko wa kwenda SERBIA ,wanamziki wa bendi hiyo wamshikwa na matumbo joto! kutokana
historia ya nchi ya SERBIA ambayo miaka ya nyuma ilikuwa na vita....Pia ziara ya wakali hao Ngoma Africa band,ndio bendi ya mwanzo ya kiafrika kwenda Serbia

wasikilize hapa www.myspace.com/thengomaafrica pia www.unheardradio.com/The_Ngoma_Africa_band

Pitia www.kustendorf-filmandmusicfestival.org/2011/index.php?=81

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA