
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets
Zimbabwean Prime Minister Morgan Tvangirai in Brussels today.

President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in discussion with The United Kingdom Minister for Development Cooperation Andrew Mitchell in Brussels this afternoon. Photos by Freddy Maro of Ikulu
Makamu wa Rais azindua mfumo wa kurekodi mashauri mahakamani kwa kompyuta

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akihutubia Majaji na Mahakimu wa Mahakama za Tanzania katika uzinduzi wa mfumo wa kurekodi mashauri Mahakamani kwa Kompyuta na tovuti ya Mahakama, katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizinduwa mfumo wa kurekodi mashauri mahakamani kwa kompyuta na Tovuti ya Mahakama katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akibofya kitufe cha kompyuta kuzinduwa mfumo wa kurekodi mashauri mahakamani kwa kompyuta na Tovuti ya Mahakama katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Augostino Ramadhani wa pili kulia, wakiwa katika picha ya pamoja na Majaji na Mahakimu wa Mahakama za Tanzania mara Makamu wa Rais Baada ya kuzinduwa mfumo wa kurekodi mashauri Mahakamani kwa Kompyuta na Tovuti ya Mahakama uliofanyika leo katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment