
cake ya x.mass ilikua tamuuu
wadau kibao walikuwepo na walifurahia sana
Robby akishangilia katika makulaji hayo ya siku ya x.mass

mambo ya nyumban tz yalikwepo kwa sana
wageni wakipata makulaji 
tar.25 ndo siku yenyewe..ilifanyikia singapore town ship
1 comments:
Misosi inatamanisha ile kichizi yani!
Post a Comment