TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, December 6, 2010

Mnuso wa drogba kuchangia ujenzi wa hospitali kwao

12:21 PM

Didier Drogba akiwa na wanamuziki waliotumbuiza katika mnuso huo
Didier Drogba na Fally Ipupa (shoto) na wageni kwenye mnuso

Mayenu kwa kwenda mbele
Fally Ipupa akionesha jinsi yenu linavyopigwa
Mshambuliaji wa Chelsea na Ivory Coast Didier Drogba akikaribisha wageni kwenye mnuso wa harambee ulioandaliwa majuzi na mfuko wake wa The Didier Drogba Foundation kwenye hoteli ya Grosvenor House jijini London Majuzi ambapo jumla ya pauni 500,000 za Uingereza zilipatikana kwa ajili ya ujenzi wa hospitali huko Abidjan. Nyota kibao wa soka na muziki walihudhuria, bila kusahau Globu ya Jamii iliyochanganyika na vyombo vingine vya habari kuripoti tukio hilo
Juu na chini ni baadhi ya vitu vilivyopigwa
mnada kwenye mnuso huo wa nguvu Jezi na picha za watu maarufu vilipigwa mnada
Akon, Drogba na wadau wengine wakilisakata rhumba
Ashley Cole na Michael Essien wakiwa na wadau. Wa pili kulia ni mdau Yasmin toka bongo
Fally Ipupa akiwachezesha sebene Drogba na wenzie
Mnuso ulifana

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA