Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akizungumza na wanahabari mara baada ya kuzindua ndege za Bold Air zinazomilikiwa na Mtanzania John Ndunguru leo. Nyalandu akiwa katika katika usikani baada ya kuzindua moja ya ndege mbili za Bold Air.
0 comments:
Post a Comment