Hamisi Ma-Sms wa Zentel (mwenye suti) akimzawadia kuku Bi Philibet Mvula (kushoto) zawadi ya kuku na vyakula vya sikukuu baada ya kukutana katika soko la Manispaa ya Iringa ,Zentel kupitia Promoshen ya Hamisi Ma-sms imeendelea kuhamasisha watanzania kujiunga na droo hiyo kwa kutuma Sms yenye neno Hamisi kwenda 15587 na kujishindia kati ya shilingi milioni 1 hadi 15 Hamisi Ma-sms akimtaka Bi.Philibet kueleza chochote anachotaka Soko kuu la Manispaa ya Iringa ambalo leo neema imeshuka toka za Zentel hapa naona bora kujificha uso maana imekuwa nongwa (ni kama anasema vile Hamisi ma-Sms) wakati akitoka soko kuu la Manispaa ya Iringa
Mzee Abubakari akimwongoa Hamisi Ma-sms wa Zentel kwenda buchani kununuliwa nyama Mzee Abubakari Mvulana wa Kibwawa Iringa mjini (kushoto) akieleza mahitaji yake kwa mzee wa ofa toka Zentel Hamisi Ma-sms (mwenye suti) akiwa na Deo Ringia mtaalam wa Bidhaa toka Zentel Hamisi Ma-sms (mwenye suti) akiwa na Bi.Philibeta Mvula ambaye amebahatika kununuliwa vyakula pamoja na kuku wa Krismasi leo soko kuu la manispaa ya Iringa
Hamisi Ma-sms wa Zentel (Kushoto) akiwa na mwanamke mkazi wa Kihesa Ngome Bi Philibeta Mvula Deogratias Ligia ambaye ni mtaalamu wa bidhaa za Zentel Manunuzi yakiendelea soko la manispaa ya Iringa na Hamisi Ma-Sms za Zantel Hapa Hamisi Ma-sms akihesabu fedha kwa ajili ya malipo ya bidhaa mbali mbali alizomnunulia mwanamke mkazi wa Kihesa Ngome Bi.Philibeta Mvula ambaye kwa upande wake amepongeza kampuni hiyo ya Zentel kwa kumpa msaada huo wa msosi,
0 comments:
Post a Comment