TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, December 28, 2010

FM ACADEMIA KUKARIBISHA MWAKA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO

1:19 PM



Kiongozi wa FM Academia Nyoshi El Saadat katikati (Picha na Maktaba).
*********************************************************************
Bendi ya muzikiwa dansi ya FM Academia inatarajiwa kufanya onyesho lake la mkesha wa kuuaga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka mpya 2011 katiika ukumbi wa Kijiji Cha Makumbusho uliopo Kijitonyama Dar es Salaam.Akizungumza na Blog hii Meneja wa bendi hiyo Kelvin Mkinga anasema kuwa kama jinsi walivyofunika katika onyesho lao la X-Mas ndivyo itakavyokuwa siku ya mkesha huo.Mkinga amesema kiingilio kitakuwa sh.10,000.
Wanenguaji wa bendi hiyo nao wako kamili kwa kutoa shoo ya nguvu.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA