URBAN PULSE inapenda kuwaletea wadau wote picha za matukio ya Rehearsal za Msanii Diamond akiwa Tayari Katua Jijini Lagos Nigeria TAYARI kwa matarisho ya MTV Mama Awards leo Usiku. Diamond anapenda kuwashukuru mashabiki wake wote na wale wote walio mpigia kura na kuwaomba wazidi Kumuombea ili afanikiwe kuchukua tuzo hivi Muhimu.
0 comments:
Post a Comment