TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, November 6, 2010

Sherehe za kuapishwa kwa JK leo

4:39 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr. Jakaya Kikwete akiwa katika gari maalum pamoja na mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis Mwamunyange wakati wakiingia katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya shughuli ya kuapishwa kwa Rais Jakaya Kikwete.
Wanausalama wakiingia kwa staili ya aina yake wakati Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akiingia kwenye uwanja wa Uhuru leo.
Marais wa nchi mbalimbali wamehudhuria katika sherehe za kuapishwa kwa rais Jakaya Kikwete kutoka kushoto ni rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Rais Joseph Kabila wa DR Congo, Rais Rupia Babda wa Zambia Mke wa Rais wa Zanziba na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Kiongozi wa Kutoka Swaz na wageni wengine.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma naye amehudhuria katika Sherehe hizo kama unavyomuona akielekea jukwaa kuu.
Wageni mbalimbali wakishuhudia sherehe hiozo mchana huu.
Huu ni umati wa wageni waalikwa katika jukwaa la upand wa kulia kwenye uwanja wa Uhuru ambapo sherehe za kuapishwa kwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete zinaendelea sasa.Picha Zote Na John Bukuku.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA