TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, November 23, 2010

MAREHEMU JUMA NKAMBI AZIKWA KATIKA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DSM

1:19 AM


Mwili wa marehemu JUMA NKAMBI ambaye amezikwa katika makaburi ya KISUTU JIJII DSM
Naibu waziri wa habari utamaduni na michezo JOEL BENDERA na alikuwa kocha wa timu ya STARS wakati JUMA NKAMBI akichezea kikosi hicho aliongoza wakazi wa Jijini DSM kuupumzisha mwili wa marehemu
Viongozi wa TFF Mkurugenzi wa ufundi SUNDAY KAYUNI kushoto katikati Rais wa TFF LEODGERTENGA na wadau wengine wa michezo wakati wa kuaga mwili wa marehemu
Baadhi ya wadau wa soka waliofika kuaga mwili wa marehemu
Makamu wa pili wa Rais wa TFF RAMADHAN NASSIB wakati wa kuaga mwili wa JUMA NKAMBI
Hapa wakazi wa Jijini DSM waliofika nyumbani kwao marehemu JUMA NKAMBI kwa ajili ya kutoa heshima ya mwisho

Kocha wa zamani wa SIMBA JULIO akiwa na baadhi ya mashabiki wa JUMA NKAMBI pamoja na ndugu jamaa na marafiki waliofika kuaga mwili wa marehemu JUMANKAMBI

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA