TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, November 13, 2010

Film za maigizo zinalipa kweli kweli!

8:11 PM








Katika Kuonyesha kuwa ni wazi kwamba Tasnia ya filamu Tanzania inakua na kwamba ni muhimu kuwekeza katika tasnia hii, Leo tumemkuta Steven Kanumba akiwa na Gari lake ambalo ni mahususi kwa ajili ya Production na masuala yote ya utayarishaji wa filamu zake. Kanumba katikati ya mwaka huu alifungua rasmi kampuni yake na kuweka ofisi katika mitaa ya sinza, Hii kweli inavutia na inakupa fikra kwamba kama huyu anafanya hivi ni kwa sababu gani? Je ni kwamba wadau wanamkubali na kumuwezesha!!!? BIG UP Kanumba, tunamatumani tutaona wengine mkirasimisha utendaji wenu wa kazi.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA