Home » »Unlabelled » diamond alivyokamua ndani ya urban tour milton keynes diamond alivyokamua ndani ya urban tour milton keynes kilinyepesi 8:23 PM Dimond akila pozi na mashabiki wakeDiamond akikamua huku akiserubuka na mashabiki wakeNdani ya Club palikuwa hapatoshi,Daimond alipoangusha kitu cha Mbagala.shoto_Actress Linda, Baraka na Tina wakishoo luvRed city wakila pozi Frank kabla ya makamuziKila mmoja alionekana kukunwa kivyake ndai ya clubShabiki akashindwa kuzizuia hisia zake,wengine wakiwa wanalia kwa kudata na nyimbo zakeUrban Pulse inapenda kuwaletea yaliyojiri ndani ya Urban Tour MILTON KEYNES.URBAN PULSE inapenda kuwashukru wale wote waliokuja kutoa support. Show inayofuatia itafanyika 12.11.10 Croydon London wote MnakaribishwaUrban Pulse Creative Mshirikishe Mwezako Kupitia: Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Post a Comment