TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, October 25, 2010

LUNDENGA,MISS TANZANIA WA2 WAMFUATA MISS TZA CHINA

7:13 PM



Miss Tanzania namba 2 Gloria Mwanga aliyeshika bendera akiwa na Miss Temeke namba2 wote wameondoka leo kwenda kumpa sapoti Vodacom Miss Tanzania Genevieve Emmanuel Mpangala atakayewakilisha Jumamosi hii (Oktoba 30) katika shindano la kumsaka Mrembo wa Dunia litakalofanyika Sanya China.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambaye pia ni Mratibu wa shindano la Miss Tanzania, ndiye kiongozi wa msafara huo hapa akiwa katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni mama mzazi wa Miss Tanzania Genevieve anayefuata ni baba wa mrembo huyo Genevive na kulia ni Lundenga wakibadilishana mawazo kabla ya kuondoka hapa wakiwa katika viunga vya Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA