TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, October 19, 2010

Katibu Mkuu Wizara ya Habari akutana wa wafanyakazi wa Idara ya Habari

8:58 PM

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda(katikati) akiongea leo jijini Dar salaam na wafanyakazi wa Idara ya Habari (MAELEZO) juu ya mwenendo wa vyombo habari kuelekea uchaguzi Mkuu. Wengine ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Clement Mshana(kushoto) na Mkurugenzi Msaidizi Raphael Hokororo(kulia)
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Clement Mshana(kulia) akitoa ufafanuzi leo jijini Dar es salaam kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda(kushoto) juu ya ukarabati na uboreshaji unaoendelea katika jengo la Idara hiyo uliomalizika kwa awamu ya kwanza.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA