Mtangazaji wa TBC One Maimatha wa Jesse ambaye alikuwa MC wa shindano la kumsaka mrembo wa kilimanjaro katika ukumbi wa Picolo mjini Moshi wikiendi hii akiwa na mwandaaji wa shindano hilo Jackie Chuwa wakati mwandaaji huyo alipokuwa akitoa utambulisho. Kundi la Mwandago Investment likitoa burudani ya kufa mtu wakati wa kumsaka Vodaco Miss Kilimanjaro 2010. Msanii anayetamba na kibao cha 'Pole samaki pole' wanaojulikana na jina la Off Side Trick akitumbuiza na kundi lake wakati wa shindano la kumsaka Vodacom Miss Kilimanjaro 2010.
Off Side Trick toka Zenji wakifanya mambo yao...
katika shindano la kumsaka Vodacom Miss Kilimanjaro 2010. Miss Kilimanjaro aliemaliza muda wake akisubiri kukabidhi taji Vodacom Miss Kilimanjaro 2010 Gloria Ulomi akitamba na taji lake Warembo wa tano bora wa Vodacom Miss Kilimanjaro 2010 mara baada ya kushinda. Mshindi wa kwanza alikuwa Gloria Ulomi, nafasi ya pili ilichukuliwa na Glory Justin na wa tatu ilichukuliwa na Glory Justinna na ya nne ni Eliza
0 comments:
Post a Comment