TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, May 25, 2010

TIMU YA BRAZIL KUTUA NCHINI KWA MAANDALIZI YA KOMBE LA DUNIA NCHINI AFRIKA KUSINI

12:41 PM


Timu ya taifa ya BRAZIL itacheza michezo ya kirafiki na TANZANIA pamoja na ZIMBABWE, kabla ya kwenda nchini AFRIKA KUSINI kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia.
Kwa mujibu wa mtandao wa SUPERSPORT, ambapo umesema kuwa michezo hiyo itatangazwa hapo baadaye baadaya ya nyaraka zote kupelekwa kwa shirikisho la soka la vyama huska vya nchi hizo mbili.
Maafisa wa shirikisho la soka la BRAZIL ambao wameiambia tovuti hiyo wamesema kuwa michezo hiyo itachezwa June 2 na 7 kabla ya BRAZIL haijacheza mchezo wake wa kwanza wa fainali za kombe la dunia dhidi ya KOREA KASKAZINI june 15.

Shirikisho la soka hapa nchini kupitia msemaji wake FLORIAN KAIJAGE, amesema kwa sasa hana taarifa kuhusiana na ujio wa timu hiyo ya taifa la BRAZIL, ambao ni magwiji wa soka dunani.

Hivi sasa BRAZIL ipo nchini mwake katika jiji la CURITIBA lilipo kaksazini mwa nchi hiyo wakiendelea na mazoezi

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA