Duru za serikali huko Niger zimesema Rais Mamadou Tandja na baraza lake la mawaziri wanazuiliwa na wanajeshi kufuatia ufyatulianaji wa risasi karibu na Ikulu mjini Niamey. Jaribio la mapinduzi Niger
Duru za serikali huko Niger zimesema Rais Mamadou Tandja na baraza lake la mawaziri wanazuiliwa na wanajeshi kufuatia ufyatulianaji wa risasi karibu na Ikulu mjini Niamey.
0 comments:
Post a Comment