TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, February 16, 2010

CCM yaridhia serikali ya mseto Zanzibar

10:12 PM

Chama Tawala nchini Tanzania CCM kimeridhia mapendekezo ya kuundwa kwa serikali shirikishi huko Zanzibar kama njia muafaka ya kuondoa chuki.

Kikao hicho kilichomalizika manane za usiku kimetaka kura za maoni kuhusu serikali hiyo zipigwe na Wazanzibari wote baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Malumbano katika chama cha CCM pia yalijadiliwa kwa kina ambapo kikao kiliongezea muda wa mwezi mmoja kamati teule ili juhudi za upatanishi ziendelee kati ya makundi zinazozozana na kupatikana maridhiano.


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA