Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa Tanzania ambao wiki hii walishiriki tamasha la kimataifa la utamaduni na Urafiki katika jiji la New Delhi, India, wakiwa washiriki pekee wa Afrika ambapo nchi 14 zilishiriki kwa lengo la kuwaleta wanafunzi wa mataifa mbalimbali pamoja na kuweza kuonyesha utamaduni wao na kujenga urafiki. washiriki wa Tanzania na wenzao toka Palestina wakiwa na washiriki wa mataifa mbalimbali mara baada ya tamasha wakiwa na mkuu wa kikundi Bw Nasser Kingu ilikuwa furaha na urafiki katika utamaduni
0 comments:
Post a Comment