Ofisa wa Kampuni ya udalali ya Majembe Auction Mart Emmanuel Wambando akionesha mitambo ya Kampuni ya Dowans ambayo kampuni hiyo inaishikilia kufuatia idhini ya Mamlaka ya mapato nchini (TRA) inayoidai kodi ya zaidi ya sh Bilioni 9.120. Jana Majembe wamefunga kwa kufuli eneo hilo la mitambo iliyopo Ubungo Dar es Salaam.(Picha na Mroki Mroki).mitambo ya Kampuni ya Dowans inaishikiliwa
Ofisa wa Kampuni ya udalali ya Majembe Auction Mart Emmanuel Wambando akionesha mitambo ya Kampuni ya Dowans ambayo kampuni hiyo inaishikilia kufuatia idhini ya Mamlaka ya mapato nchini (TRA) inayoidai kodi ya zaidi ya sh Bilioni 9.120. Jana Majembe wamefunga kwa kufuli eneo hilo la mitambo iliyopo Ubungo Dar es Salaam.(Picha na Mroki Mroki).
0 comments:
Post a Comment