TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, November 2, 2009

Libeneke la ziara ya ras nas ughaibuni

10:25 PM


Ile ziara ya mwanamuziki Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi katika miji sita ya Norway karibu inamalizika. Hapa ni kwenye ukumbi wa MS Innvik, Oslo, ambapo Ras Nas na kikosi chake waliwasha moto mkali usiku wa Halloween; Jumamosi iliyopita. Hivi sasa Ras Nas amejipanga kufyatua CD ya muziki na mashairi "Double Focus". Mashairi yanatoka kwenye kitabu ambacho Nasibu aliandika mwaka 1989 pamoja na shairi moja la Shabaan Roberts “Titi la Mama”. Kwa hiyo sasa kaa chonjo!

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA