TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, October 1, 2009

11:46 PM
Elizabeth Anaendeleza Makamuzi
Kama Kawa Ndani ya Mjengo wa
Big Brother Africa
---
Eliza gupta apagawishwa na Kanumba BBAThe cutie-baby wa Kibongo ndani ya mjengo wa Big Brother Revolution,Elizabeth Gupta amepagawa kunyetishwa kuwa kabla yeye hajaingia ndani ya nyumba,staa wa muvi,Steven Kanumba‘The Greatest’ alikuwa mjengoni.
Eliza alidata kimtindo alipokuwa akiongea hili na lile wiki iliyopita na washiriki wa kiume BBA ambao walimweleza kuwa walipoingia siku ya kwanza,walikuwa na Kanumba.“Don’t tell me, Kanumba was here?” Eliza aliuliza kwa mshangao,hivyo kuonesha kuwa kumbe wakati The Greatest alipokuwa mjengoni na mastaa wengine wa Afrika,washiriki wa kike walikuwa hawajui kabisa kilichokuwa kikiendelea mjengoni.Kwa data kamili na nyeti za ukweli juu ya eliza na washiriki wengine kutoka ndani ya mjengoi huo wa big brother africa nenda http://www.mnetafrica.com/bigbrother/

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA