TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, October 11, 2009

ccm kirumba yafurika fiesta one love mchana huu

10:31 PM
Gea habib wa Clouds Fm akitangaza live mchana huu ndani ya CCM kirumba
Baby madaha naye ameonsha umahiri wake kucheza miuno kimtindo wakazi wa Mwanza wanashangilia ile mbaya mchana huu.Cheki anavyolipagawisha jidume la rock city
Wasanii kutoka zenj ambao wanatamba na wimbo wao samaki pole wakiwarusha wakazi mwanza sasa hivi ndani ya uwanja wa ccm kirumba mchana huu
Fiesta One love inafanyika mchana huu ndani ya ccm kirumba,watu kibao wametia timu kama uonavyo pichani,wakazi wa mwanza ama kwa hakika wameitikia wito ama kauli mbiu ya One Love

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA