TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, September 22, 2009

Obama kufufua amani mashariki ya kati

8:10 PM

Mkutano wa viongozi watatu unatarajiwa kufanyika katika hoteli moja jijini New york hii leo, katika juhudi za kurejesha mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palestina.

Hata hivyo mkutano huo kati ya Barack Obama, Mahmoud Abbas na Benjamin Netanyahu umeitishwa baada ya marekani kushindwa kuwaweka ana kwa ana viongozi hao wawili kung'amua matatizo yao.


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA