Rais mstaafu wa awamu ya pili , Ally Hassan Mwinyi na mkewe mama Sitti wakifurahi baada ya kufungua jengo la wodi ya wazazi na watoto katika kituo cha Afya cha Ndungu wilayani Same iliyokarabatiwa kwa Sh75Milioni kwa kugharimiwa na Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki,Anna Kilango Malecela na wananchi wake.MZEE RUKSA
Rais mstaafu wa awamu ya pili , Ally Hassan Mwinyi na mkewe mama Sitti wakifurahi baada ya kufungua jengo la wodi ya wazazi na watoto katika kituo cha Afya cha Ndungu wilayani Same iliyokarabatiwa kwa Sh75Milioni kwa kugharimiwa na Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki,Anna Kilango Malecela na wananchi wake.
0 comments:
Post a Comment