TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, September 25, 2009

MSAADA KWA WIZARA YA AFYA

10:23 PM
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni (kushoto) akipokea sehemu ya vifaa vya maabara zikiwemo darubini kwa ajili ya kusaidia upimaji wa kifua kikuu kwa wananchi toka kwa mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Misaada la Marekani (USAID), Elise Jensen, Dar es Salaam jana. Katikati ni Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Deo Mtasiwa pamoja na Kiongozi mkazi wa Shirika la PATH, Dk. Mohamed Makame (Picha: Fadhil Akida).

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA